SMARTSMS

BULK SMS NA SENDER ID

Tuma ujumbe kwa maelfu ya watejaKwa sekunde chache, kupitia API au dashibodi
Login kwenye SmartSMS Agiza SMS Soma API Documentation E-Phamarcy Software Company Limited

Huduma zetu

SmartSMS inatolewa na E-Phamarcy Software Company Limited.

Bulk SMS

Tuma ujumbe mmoja kwa wapokeaji wengi kwa wakati mmoja, ikiwemo ujumbe uliopangwa kwa muda (schedule).

Sender ID

Ujumbe uonekane ukitoka kwa jina la biashara yako badala ya namba ya kawaida.

Delivery report

Angalia kama kila ujumbe umefika kwa mpokeaji.

API kwa wasanidi

Unganisha mfumo wako (Flutter, PHP, Node, n.k.) kutuma SMS moja kwa moja.

Inavyofanya kazi

Kutoka kuagiza hadi ujumbe kufika kwa mteja wako, hatua nne tu. Bofya hatua yoyote kuiona.

Mfumo wakoau dashibodi ya SmartSMSAndika ujumbe...TumaSmartSMSBulk SMS + Sender ID22 TSh kwa SMSSender ID: BIASHARAAPI key tayari0712 ••• 345BIASHARA: Habari!0765 ••• 210BIASHARA: Habari!0688 ••• 904BIASHARA: Habari!SMSSMSSMSSMSDelivered ✓

Bei

Bei moja, wazi, bila ada zilizofichwa.

22
TSh kwa kila SMS
Sender ID inasajiliwa kwa ombi lako. Wasiliana nasi kwa punguzo la kiasi kikubwa.

API Documentation

Mwongozo kamili wa endpoints, mifano ya cURL na msimbo wa SmartsmsService. Bofya picha kuufungua.

Agiza SMS na Sender ID

Jaza fomu, kisha tuma oda kwa WhatsApp au barua pepe. Tutakujibu na maelekezo ya malipo na funguo za API.

Jumla: 22,000 TSh (22 TSh × SMS)
Hutumii barua pepe? Tuandikie moja kwa moja: suport@ephamarcysoftware.co.tz